|
"Nendeni ulimwenguni kote mkafundishe na kubatiza" |
Mpendwa mwanatafakari wa Neno la Mungu, leo tunaadhimisha sherehe ya kupaa Bwana Yesu mbinguni. Baada ya kazi ya kitume na kimisionari hapa duniani Bwana Yesu Kristo lazima akatoe taarifa kwa Baba yake. Kumbe anapaa mbinguni kwenda pia kutayarisha  |
|
|
|
Vijana tambueni na kuenzi malengo ya utendaji kazi |
Moja ya maswali muhimu katika utendaji wa kila siku huwa ni kufahamu ni kwa nini unafanya kile unachokifanya. Ukishapata jibu la swali hilo, utagundua kuwa utendaji wake unapata umuhimu wa pekee. Baada ya kuona ni nini maana ya kazi na chanzo chake  |
|
|
|
|
Benedikto XVI: imarisheni lango la uhuru na matumaini
Hija ya kichungaji ya Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, iliyomalizika hivi karibuni nchini Benin, moja ya malango makuu ya biashara ya utumwa, yaliyojulikana kama “lango lisilo na matumaini ya kurudi”, kwa Waswahili pengine wangeweza kusema, Bwagamoyo hapa tunapata mzizi neno Bagamoyo!

|
|